MAANA YA FONETIKI KWA MUJIBU WA WATAALAMU MBALIMBALI Mgulu(2001-20)anasema kwa mujibu wa Hayman(19790) Fonetik ni taaluma ambayo hususan huchunguza sauti ambazo hutumiwa na binadamu . Habwe na Karanja(2004-20)ni taaluma ya sayansi inachunguza sauti za biaadamu .
Massamba (2007-20)Ni tawi la isimu ambalo linajishughulisha na sauti za lugha za binaadamu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni